Tuesday, March 10, 2015

FANYA BIASHARA NA SISI UPATE FAIDA, KWA WEWE MWENYE UWEZO WA KUTU LETEA TENDA

World Savor group ni kampuni iliyosajiliwa inayotoa huduma ya usafi wa maofisini, Nyumbani, Hotelini, na Viwandani. Tunawafanyakazi walio na taaluma ya mambo ya usafi pamoja na utengenezaji wa garden katika eneo lako la nyumbani au la kazi, Tuna Vifaa Vyote muhimu kwa ajili ya kufanyia kazi za Usafi. Kwa yeyote mwenye uwezo wa kutuletea Tenda katika kampuni yetu Tutampatia kiasi fulani cha pesa kama kamisheni kwa ajili ya kutuletea tenda hiyo, Na kwa yeyote ambaye Anahitaji Huduma hii ya usafi Afanye mawasiliano na sisi  kwa mawasiliano kama ifuatavyo

Namba ya simu piga:  +255 712 840497
Email: worldsavorgroup@gmail.com
Kwa mawasiliano mengine kama twita na kadhalika yanapatikana kwa kuangalia kipeperushi kifuatacho.





Ahsante, Na karibu sana ufanye kazi na sisi.